Mikopo hutolewa kwa mwanachama na wafanyakazi wa Lulu Saccos. Mkopaji atajaza fomu ya mikopo na atatoa mchanganuo wa mkopo, mfan...
Read MoreMkopo huu unalenga kumsaidia mwanachama katika kukabiliana na changamoto ya ada kwa ajili ya kulipia gharama za mafunzo katika shule na vyuo mbalimbali.
Lulu Saccos tupo Soweto Mbeya Mjini, tunatazamana na barabara kuu ya Tanzania Zambia