Mikopo hutolewa kwa mwanachama na wafanyakazi wa Lulu Saccos. Mkopaji atajaza fomu ya mikopo na atatoa mchanganuo wa mkopo, mfan...
Read MoreFika ofisini kwetu, ofisi zilizoko Soweto Mbeya Mjini kwa ajili ya kupata huduma zetu hii ni pamoja na huduma za kuwa mwanachama wa Lulu Saccos Ltd au unaweza pia kuwasiliana nasi kwa njia zifuatazo:
Lulu Saccos tupo Soweto Mbeya Mjini, tunatazamana na barabara kuu ya Tanzania Zambia