Utaratibu wa Mikopo

Mikopo hutolewa kwa mwanachama na wafanyakazi wa Lulu Saccos. Mkopaji atajaza fomu ya mikopo na atatoa mchanganuo wa mkopo, mfan...

Read More
MKOPO WA UWAKALA, BIDHAA NA HUDUMA

Mkopo huu unalenga kuwasaidia wanachama wanaofanya biashara ya uwakala, mwanachama anayeruhusiwa kukopa mkopo huu ni yule anayefanya biashara ya uwakala. Kiwango cha mkopo huu ni 100,000/= hadi 100,000,000/=.

  • 1. Mkopaji atapaswa kujaza fomu maalumu ya kuomba mkopo
  • 2. Mkopaji atatakiwa kuwasilisha mikataba ya uwakala wake pamoja na nyaraka zinazomtambulisha kuwa ni mdau wa kampuni au taasisi husika.
  • 3. Mkopaji atapata mkopo mara moja (1), mbili (2), tatu (3) au nne (4) ya akiba alizojiwekea.
  • 4. Muda wa Marejesho ya mkopo huu utakuwa miezi 12 na marejesho yatafanyika kila mwezi
  • 5. Riba ya mkopo huu itakuwa asilimia 1.5% Kwa mwezi.
  • 6. Mkopo huu utatolewa (kila mwezi)
  • 7. Mkopaji atakayepitishiwa mkopo huu atajaza mkataba wa mkopo
News 1
Karibu Sana

Lulu Saccos tupo Soweto Mbeya Mjini, tunatazamana na barabara kuu ya Tanzania Zambia

picture-ya-Pesa
Vyanzo vya Mapato

  • (a) Hisa za wanachama
  • (b) Malimbikizo ya faida
  • (c) Mikopo kutoka taasisi mbalimbali za kifedha na zisizo za kifedha
  • (d) Misaada kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi
  • (e) Akiba za wanachama
  • (f) Uwekezaji wa wanachama na wadau mbalimbali

Ufahamu Zaidi

BIMA YA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
USIMAMISHAJI MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
UREJESHAJI WA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More