Utaratibu wa Mikopo

Mikopo hutolewa kwa mwanachama na wafanyakazi wa Lulu Saccos. Mkopaji atajaza fomu ya mikopo na atatoa mchanganuo wa mkopo, mfan...

Read More
MIKOPO YA WANACHAMA WA VIKUNDI

  • 1. Kikundi watajaza fomu maalumu ya kuomba mkopo
  • 2. Wataruhusiwa kukopa mkopo wa biashara tu.
  • 3. Kikundi kila wanapohitaji mkopo wataleta muhtasari wa kikundi wenye maamuzi ya kukopa mkopo huu.
  • 4. Mkopo utadhaminiwa kwa dhamana mali ambazo zitatolewa na wanakikundi kwa ajili ya kudhamini mkopo wa Kikundi.
  • 5. Dhamana hii itatolewa kisheria kwa mujibu wa sheria za Nchi na sera yetu ya mikopo.
  • 6. Kikundi wataleta orodha ya majina ya wanaohitaji mkopo pamoja na dhamana zao binafsi
  • 7. Muda wa kurejesha mkopo huu ni miaka mitatu.
  • 8. Idadi ya wanakikundi watakaoruhusiwa kujiunga na kukopeshwa itakuwa ni wanakikundi kuanzia 10 hadi 100.

News 1
Karibu Sana

Lulu Saccos tupo Soweto Mbeya Mjini, tunatazamana na barabara kuu ya Tanzania Zambia

picture-ya-Pesa
Vyanzo vya Mapato

  • (a) Hisa za wanachama
  • (b) Malimbikizo ya faida
  • (c) Mikopo kutoka taasisi mbalimbali za kifedha na zisizo za kifedha
  • (d) Misaada kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi
  • (e) Akiba za wanachama
  • (f) Uwekezaji wa wanachama na wadau mbalimbali

Ufahamu Zaidi

BIMA YA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
USIMAMISHAJI MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
UREJESHAJI WA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More